Monday, February 6, 2017

Video: Magufuli apigilia msumari sakata la madawa ya kulevya

  Rais Magufuli amesema Vita | Oparesheni ya madawa ya kulevya haitabagua hadhi ya mtu hata kama ni mwanae awekwe ndani.
Je una maoni yoyote juu ya kauli hii ama oparesheni ya Madawa ya kulevya !?


Magufuli Akiongelea Suala La Madawa ya kulevya


No comments:

Post a Comment

New Posts

Libya yatangaza hali ya dharura ya mwaka mzima baada ya mafuriko

  Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha ya kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbw...