Friday, February 3, 2017

TID akiwasili Kituo cha Polisi Central Dar Es Saalam

TID akiwasili central


Msanii TID akiwasili katika kituo cha polisi dar es saalam ikiwa nikutii kauli ya mkuu wa mkoa wa dar es saalam Mh. Paul Makonda. Kutokana na tuhuma za mawada ya kulevya zinazo wakabili.


No comments:

Post a Comment

New Posts

Libya yatangaza hali ya dharura ya mwaka mzima baada ya mafuriko

  Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha ya kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbw...