Saturday, February 18, 2017

Njombe Mji Yapanda Ligi Kuu (VPL), Kuikaribisha Simba, Yanga na Azam mji wa baridi Njombe


Njombe Mji yaandika historia mpya katika soka la Tanzania kwa kufanikiwa kuingia ligi kuu VPL kwa mara ya kwanza baada ya Ushindi wa leo dhidi ya Kurugenzi wa mabao 2-0..



Historia kubwa kwa mkoa ulioanzishwa miaka 5 ilopita kuwa na timu inayoshiriki ligi kuu baada ya kukosa uwakilishi kwa miaka 16 toka Nazareth(watoto wa baba paroko) ilipotelemka daraja.


No comments:

Post a Comment

New Posts

Libya yatangaza hali ya dharura ya mwaka mzima baada ya mafuriko

  Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha ya kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbw...