Tuesday, February 7, 2017

Breaking Newz: Wabunge wa upinzani watoka nje ya Ukumbi wa Bunge



Kutoka Dodoma Bungeni sasa hivi naambiwa Wabunge wa Upinzani wametoka nje ya ukumbi wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania baada ya kutoridhishwa na maamuzi ya Naibu Spika Dr. Tulia.

Inaripotiwa kwamba Naibu Spika Dr. Tulia aliamuru kutolewa nje kwa Mbunge Halima Mdee na mwenzake waliopaza sauti ndani ya bunge baada ya Naibu spika kukataa mwongozo wa kujadili sababu za kukamatwa kwa Mbunge Tundu Lissu jana.

Baada ya amri ya kuwatoa nje Halima Mdee na mwenzake inaripotiwa na Wabunge wengine wa upinzani wakachukua uamuzi wa kutoka nje .


No comments:

Post a Comment

New Posts

Libya yatangaza hali ya dharura ya mwaka mzima baada ya mafuriko

  Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha ya kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbw...