Monday, February 6, 2017

CAF YATANGAZA KIKOSI BORA CHA AFCON 2017.



Kikosi kamili cha wachezaji walioteuliwa na kamati ya ufundi ya shirikisho la soka barani Afrika CAF.

Kipa: Fabrice Ondoa (Cameroon)

Mabeki: Modou Kara Mbodji (Senegal), Ahmed Hegazy (Egypt) Na Michael Ngadeu (Cameroon)

Viungo: Charles Kabore (Burkina Faso), Daniel Amartey (Ghana), Bertrand Traore (Burkina Faso), Christian Atsu (Ghana) Na Mohamed Salah (Egypt)

Washambuliaji: Christian Bassogog (Cameroon) Na Junior Kabananga (Dr Congo). 


No comments:

Post a Comment

New Posts

Libya yatangaza hali ya dharura ya mwaka mzima baada ya mafuriko

  Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha ya kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbw...