Thursday, February 2, 2017

VIDEO: Rais Magufuli alivyohoji Mahakimu 28 walioshinda kesi za jinai



February 2 2017 imeadhimishwa siku ya sheria ambayo ndio mwaka mpya wa Mahakama kuashiria kuanza kazi kwa Mahakama na mgeni rasmi alikuwa Rais Magufuli ambaye alihoji kuhusu Mahakimu 28 ambao walifunguliwa kesi za jinai nyingi zikiwa za rushwa na kushinda kesi hizo, alihoji je ni kweli kuwa hakufanya makosa hayo, kesi ilikosewa kufunguliwa? au ?


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...