Monday, February 6, 2017

Msimamo ligi kuu daraja la kwanza kundi B: Njombe kuikaribia Ligi kuu (VPL)

MSIMAMO WA LIGI DARAJA LA KWANZA KUNDI B BAADA YA KIMONDO FC KUSHUSHWA DARAJA....TAARIFA RASMI YA TFF TUMELETEWA  LEO 6.2.17

1. Polisi Morogoro FC           17
2. KMC FC.                    17     
3. NJOMBE MJI FC.              16
4. JKT MLALE FC.                 13
5. MBEYA WORRIORS FC.   13
6. KURUGENZI FC.                10
7. COASTAL UNION FC.          9
8. KIMONDO FC.                      0

.....Mji kabakisha mechi 2 KMC kabakisha gem 1 na polisi Moro kabakisha mechi 1...



No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...