Saturday, February 11, 2017

PICHA 2: Hatimae Diamond Platnumz aonyesha sura ya mtoto wake wa pili






Mashabiki wengi wa Mwimbaji wa bongofleva Diamond Platnumz walikua wanasubiria hii siku Diamond apost picha ya mtoto wake wa pili aitwae Nillan ambaye toka amezaliwa hakuna shabiki aliepata nafasi ya kuona sura yake.

Wengi walikua wanasubiria kumuona wajue kama kafanana na Baba au mama? sasa picha zenyewe ndio hizi na ukishamaliza kuzitazama usiache kuniandikia mfanano ukoje




No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...