Njombe Mji yaandika historia mpya katika soka la Tanzania kwa kufanikiwa kuingia ligi kuu VPL kwa mara ya kwanza baada ya Ushindi wa leo dhidi ya Kurugenzi wa mabao 2-0..
Historia kubwa kwa mkoa ulioanzishwa miaka 5 ilopita kuwa na timu inayoshiriki ligi kuu baada ya kukosa uwakilishi kwa miaka 16 toka Nazareth(watoto wa baba paroko) ilipotelemka daraja.
No comments:
Post a Comment