Sunday, February 12, 2017

BREAKING NEWS: Kutoka Polisi Manji amechukuliwa na gari la kubebea Wagonjwa




Mfanyabiashara maarufu wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Club ya soka ya Yanga Yusuph Manji ni miongoni mwa Watu 65 waliotajwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya.


Manji ambaye alikwenda Polisi toka Alhamisi iliyopita, leo jioni ameonekana na Waandishi wa habari nje ya kituo cha Polisi kati Dar es salaam akichukuliwa na gari la Wagonjwa lenye namba za usajili za DFP na kuondoka nae.




Kwenye msafara huo ulioondoka gari lake aina ya Range Rover lilikuwepo pia lakini yeye alichukuliwa na gari la Wagonjwa lenye namba za usajili za DFP, muda mfupi ujao nitakuletea video fupi ikionyesha mazingira ya ilivyokua.


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...