Kitabu cha rekodi za dunia cha Guiness kimetangaza picha ya Instagram iliyovunja rekodi kwa kupata likes nyingi zaidi kuliko picha nyingine yoyote iliyowahi kupostiwa.
Picha aliyoipost mwimbaji staa wa Marekani Beyonce na kuthibitisha kuhusu ujauzito wake wa Mapacha imeivunja rekodi hiyo kwa kupata likes MILIONI 6.3 ndani ya saa 8 toka ipostiwe ambapo mpaka leo February 3 2017 22:47 EAT ina likes zaidi ya milioni 9.
Beyonce ameivunja rekodi ya mwimbaji Selena Gomez ambae alikua anaishikilia rekodi ya likes Milioni 6.3 kwenye picha aliyoipost June 25 2016.
Friday, February 3, 2017
Leo imetangazwa picha ya Instagram yenye Likes nyingi zaidi duniani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
New Posts
IJUE SCANIA P380[Mende]
Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...
-
Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha ya kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbw...
-
Wizara ya Ulinzi ya Taiwan imesema leo Jumatatu kuwa imenasa ndege 103 za kivita za China karibu na kisiwa hicho katika muda wa saa 24, ida...
-
Askari wa kike kutoka nchini Tanzania wameshiriki mkutano wa mwaka 2023 wa mtandao wa polisi wanawake duniani (IAWP) nchini New Zealand. Mk...
No comments:
Post a Comment