Tuesday, February 7, 2017

Hizi ni kanuni 5 za Wolper kwenye mahusiano



Wolper amezidi kutupa jiwe gizani. Mrembo huyo ameweka kanuni zake tano za mahusiano.

Muigizaji huyo tangu alipodai kuwa hayupo kwenye mahusiano na Harmonize, amekuwa akitumia mtandao wa Instagram kutoa ushauri kwa watu wengine kuhusu mapenzi.

Kupitia mtandao huo, Wolper ameandika kanuni hizo ambazo ni:

1. Stay faithful (kuwa mwaminifu)
2. Make them feel wanted
3. Respect your partner (muheshimu mpenzi wako)
4. Don’t flirt with others (usijitamanishe kwa wengine)
5. Make time (tenga muda)


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...