Tovuti ya thisis50.com ilianzishwa na idara mpya ya habari iliyo chini ya Rapper maarufu wa Marekani 50 Cent mwaka 2007 kwa lengo la kuendeleza na kusambaza habari za utamaduni wa pop na hiphop.
Leo Mwimbaji Mtanzania Diamond Platnumz ameingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Mtanzania video yake kuwekwa kwenye tovuti hiyo kupitia single yake mpya aliyomshirikisha Mmarekani Ne-Yo ‘marry you”
Tovuti hiyo iliwaambia watembeleaji waitazame video mpya ya Diamond kwa kuandika >>> “Check out Tanzanian award winner, Diamond Platnumz new video, ” Marry You” featuring Ne-Yo”
“Angalia video mpya ya Mtanzania mshindi wa Tuzo, Diamond Platnumz “Marry You” akishirikiana na Ne-Yo”
Wednesday, February 8, 2017
Website ya 50 Cent yaipost video ya Diamond Platnumz na Ne-Yo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
New Posts
IJUE SCANIA P380[Mende]
Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...
-
Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha ya kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbw...
-
Wizara ya Ulinzi ya Taiwan imesema leo Jumatatu kuwa imenasa ndege 103 za kivita za China karibu na kisiwa hicho katika muda wa saa 24, ida...
-
Askari wa kike kutoka nchini Tanzania wameshiriki mkutano wa mwaka 2023 wa mtandao wa polisi wanawake duniani (IAWP) nchini New Zealand. Mk...
No comments:
Post a Comment