Sunday, February 5, 2017

Hatimaye Lipuli Yarejea Ligi Kuu Tanzania Bara



Lipuli imeitwanga Polisi kwa mabao 3-1 na kufanikiwa kurejea Ligi Kuu Bara.

Ushindi wa Liipuli unaifanya kuwa timu ya kwanza kurejea Ligi Kuu Bara.


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...