Wednesday, February 8, 2017

Alichosema Makonda kuhusu jina "Philemoni Mbowe" kutatiza orodha ya leo

Mh. Paul Makonda


David king TZA

Leo February 8, 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makondaameingia kwenye awamu anayoiita ni ya pili kwa kutaja orodha ya watu ambao watahitajika kufika Polisi Central Dar es salaam kusaidia taarifa na maelezo kwenye mapambano ya kutokomeza dawa za kulevya Dsm.

Kwenye orodha hiyo iliyosambaa mitandaoni kwenye jina namba 54 kuliandikwa Philemoni Mbowe na hivyo habari zikaanza kusambaa kwamba sio Freeman Mbowe aliyetajwa.

Jioni hii Paul Makonda amewaambiwa Waandishi wa habari kwamba jina la kwanza kwenye namba 54 lilikosewa na inatakiwa kuandikwa Freeman Mbowe hivyo anaehitajika Ijumaa niMheshimiwa Freeman Mbowe.

Na hii ndio list ya majina









No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...