Thursday, February 2, 2017

Roboti aliyetengezwa kwa muundo wa Mnyama Mbwa.

Jionee Roboti aliyetengezwa kwa muundo wa Mnyama Mbwa. Roboti hii ina uwezo wa kufanya matendo ya mbwa kwa 70%. Na inatarajiwa anatumika kwenye masuala ya usalama na jeshi la polisi.  Iwapo utafiti utakamilika kwa mafanikio,  wataundwa wengi zaidi na kusambazwa kwenye nchi zenye uhitaji.


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...