Tuesday, February 7, 2017

Wasanii wanaotuhumiwa na kutumia Dawa za kulevya wafikishwa mahakamani leo


T.I.D

Dar es Salaam. Baadhi ya wasanii wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuwekwa katika chumba wanachokaa askari polisi kusubiria kama watapandishwa kizimbani.


Wasanii hao ni baadhi ya wale walioohojiwa na polisi kuhusu tuhuma za kujihusisha na madawa ya kulevya zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.


Baadhi ya wasanii hao walioko Kisutu hivi sasa ni pamoja na TID, Petit Man na Tunda.


Petit  Man

Tunda


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...