Saturday, February 4, 2017

Baby Madaha: Mimi Siyo Msagaji, Mtamuona Baby Wangu!



STAA wa Muziki na Filamu Bongo, Baby Joseph Madaha, amekanusha vikali madai ya usagaji yanayomuandama na kuahidi kumuanika mpenzi wake muda muafaka utakapofi ka. Akizungumza na mwanahabari wetu hivi karibuni, Baby Madaha alisema watu wengi wamekuwa wakimsema kwamba yeye ni msagaji kitu ambacho si cha kweli. “Najua wanasema hivi kwa sababu hawajawahi.

kumuona mpenzi wangu, mimi sisagani na kamwe hawawezi kumuona mpenzi wangu kirahisi kwani nitamuanika pale tu yatakapofi kia mambo ya ndoa, wanaume hawaaminiki, unaweza kumuanika leo, kesho akasepa zake,” alisema Baby Madaha.


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...