Tuesday, January 10, 2017

Simba Kuifuata Azam Fainali Mapinduzi cup


   




Timu ya wekundu wa msimbazi Simba Sports Club inaifuata timu ya azam katika fainali ya kombe la mapinduzi baada ya kuwa toa wataniwake wa jadi dar es salaam young Africans (Yanga)kwa matuta (Penati)


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...