Tuesday, January 24, 2017

Asha Boko: Nipo tayari kuolewa

Asha Boko

Msanii wa maigizo ya vichekesho Asha Boko amesema ameishi katika maisha ya upweke kwa miaka 8 baada ya mume wake kufariki. 

Akiongea kupitia eNewz Asha amesema aliamua kukaa peke yake baada ya mume wake kufariki na aliamua kulea watoto wake peke yake bila kuwa na baba wa kufikia kwa kuwa aliogopa usumbufu wa wanaume kwani huenda wangewanyanyasa watoto wake.

Hata hivyo Asha amesema kwa sasa akitokea mtu ambaye yupo tayari kumuoa na ambaye atakubaliana na kazi yake yupo tayari kufunga ndoa kwa kuwa yeye ni mtoto wa kiislam na dini ina ruhusu.    

No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...