Mtu mmoja anae julikana kwa jina moja la Max mkazi wa kijiji cha Njoomlole wilaya ya Njombe mji Mkoani Njombe Amepoteza uhai wake baada ya kugonga roli kwa nyuma akiwa kwenye pikipiki. Mashuhuda wakiongea na mwandishi wetu wamesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva huyo wa bodaboda.
Ajali Imetokea eneo lijulikanalo kama Kibao cha lusitu.
Mara nyingi madereva wa bodaboda wameshauliwa kuendesha pikipiki kwa kufuata sheria na kanuni zilizowekwa ili kupunguza ajali zinazo wakabili.
No comments:
Post a Comment