Sunday, January 15, 2017

Breaking News: Yatazame hapa matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la nne 2016


Leo January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne SFNA2016.

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya Form two 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘FTNA 2016’  >>>FTNA 2016

Unaweza kuyatazama matokeo ya darasa la nne 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘SFNA2016’ >>>SFNA2016


No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...