Friday, January 6, 2017

Watu 11 wa familia moja wanusurika kifo baada ya jengo la ghorofa kuungua moto.

Watu 11 wa familia moja wamenusurika kifo baada ya jengo la ghorofa mbili walilokua wakiishi kuteketea kwa moto upande wa juu katika mtaa wa kikundi manisaa ya Morogoro na kusababisha uharibifu wa mali za familia hiyo.

ITV imefika katika mtaa huo na kushuhudia moto huo ukiendela kuwaka huku kikosi cha jeshi la zimamoto na uokoaji mkoani Morogoro likiendelea na jitihada za kuuzima moto huo.

No comments:

Post a Comment

New Posts

IJUE SCANIA P380[Mende]

Scania P380 Mende ni nini? Scania P380 ni mojawapo ya malori maarufu yaliyoundwa kwa nguvu na ufanisi wa hali ya juu, hasa kwa mazingira ya ...