Sunday, January 22, 2017

Mashabiki Wamgomea Darassa Kuachia Ngoma Mpya


Muziki imekuwa ni ngoma ya kihistoria katika maisha ya Darassa pamoja na Bongo Flava kwa ujumla kwa sasa. Naweza kusema ni ngoma ambayo imeishi muda mrefu na bado inazidi kufanya vizuri.

Haikuwa mategemeo yangu kuona watu watagoma kupokea kazi nyingine kutoka kwa mbabe huyo wa ‘Muziki’ ambaye ametumia ukurasa wake wa Instagram kuuliza kama mashabiki wake wapo tayari kupokea kazi mpya.

“Any new about #muziki before to drop another bullet please?” Darassa ameandika kwenye Instagram.

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki wake kuhusu post hiyo:

luganoh: Class Kwa maana ya soko miezi hii sio mizuri pia MUZIKI bado inafanya vizuri sana subili, endelea kula hela uliyo tengeneza mwaka 2016

runih_ Wahurumiee kidogo hta wapumue pumueee

galasagangijr: Utauwa @darassacmg

mwasandendetaimu: Subiria kidogo mpaka March

benritykev Utaua clax ckilizia kidogo

wema_la_diva: Hatareee we leta tyu

maeza_dam: Acha maneno letee muziki

alikibatz_fans: Noma

djmvungy: Vunga kidogo coz bado muziki ni Wimbo wa Taifa drop new kwny mwez6 hv @darasacmg

samuelnkangala: Usidondoshe kwanza mpaka muziki iishe utamu mwakan

adelicious58: Don’t drop yet muziki is still the talk in two n

tammylians: Hapana subiri tupoe kwanza siavicen Subir baba uwiiiiii muziki bado ni shidaah siuzoei aisee @darassacmg

umbeatz_ Afu wabongo bwana kwaiyo mnataka Darassa atulie adi wimbo wa muziki uchuje? Wimbo wa muziki auchuji leo wala kesho. Darassa angusha lingine

27minjesha: Muziki is still on..subiri kidogo bro..endelea kupiga show kidogo

top_barbie12: Tuleteee mamboooooo

kingkibamusics: @darassacmg vunga kwanz mana #muzik bado inasumbua dunia

Kwa upande wangu nasubiri kwa hamu sana ujio wa ngoma inayofuta baada ya Muziki ambayo mpaka sasa imetazamwa mara 3.6m kwenye mtandao wa Youtube

No comments:

Post a Comment

New Posts

Libya yatangaza hali ya dharura ya mwaka mzima baada ya mafuriko

  Serikali ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa shabaha ya kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo yaliyokuumbw...